Taharuki gerezani baada ya mfungwa wa maisha kujitia kitanzi huko Embu

KTN News Dec 27,2019


View More on KTN Leo

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.4px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} span.Apple-tab-span {white-space:pre} </style>

Hali ya taharuki imetanda katika jela kuu ya mashariki ya kenya huko Embu baada ya mfungwa wa maisha kujitia kitanzi ndani ya jela  usiku wa kuamkia leo.