26th December, 2019
<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} span.Apple-tab-span {white-space:pre} </style>
Huku baadhi ya wanabiashara wakiendelea kuhesabu faida ya mauzo yao kutokana na msimu huu Krismasi, kunao wengine walionuna. Hawa ni wale wapiga picha waliofaidi sana haswa msimu huu katika enzi ya zamani. Na sababu kuu ni ujio wa simu za rununu ambazo kwasasa zina uwezo wa kupiga picha.