Wakaazi wa Kisumu waathiriwa na mvua kubwa

KTN News Dec 26,2019


View More on KTN Leo

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} span.Apple-tab-span {white-space:pre} </style>

Sherehe za krismasi zilikatizwa kwa mamia ya wakazi wa Kisumu baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko Kulingana na wakaji wa mji wa kisumu, mvua nyingi  ilishuhudiwa kuanzia saa kumi alfajiri na kuwaacha wakaaji  katika maeneo ya Nyamasaria, Manyatta, Mowlem na Kibos na hasara baada ya maji ya mafuriko kuingia katika makazi yao.