×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu wanne wafariki katika ajali ya barabara Nangili

26th December, 2019

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} span.Apple-tab-span {white-space:pre} </style>

Watu watatu wamefariki katika ajali iliyotokea eneo la Nangili katika barabara ya Eldoret ? kitale. Ajali hiyo ilihusisha basi dogo la Sabatia Safari na gari jingine aina ya Kangaroo. Waliojeruhiwa katika ajali hiyo walipelekwa kwa hospitali tofauti kupata matibabu huku waliofariki wakipelekwa katika hifadhi za maiti.

.
RELATED VIDEOS