Mahafali 922 wafuzi chuoni Kabarak huku Rais mstaafu Moi akisifiwa kwa kuanzisha chuo hicho
20th December, 2019
<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 10.0px Arial}
span.s1 {font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'}
span.Apple-tab-span {white-space:pre}
</style>
Mahafali 922 hii leo wamehitimu kutoka chuo kikuu cha Kabarak huko Nakuru. Viongozi tofauti wa kisiasa na wasomi waliofika waliomsifia aliyekuwa Rais Daniel Toroitich Arap moi kwa kwa mchango wake katika elimu alipoanzisha taasisi mbalimbali za elimu za Kabarak.