×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Soko la Naivasha huenda likafungwa kutokana na mazingira duni ya afya

20th December, 2019

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} span.Apple-tab-span {white-space:pre} </style>

Soko la Naivasha huenda likafungwa kutokana na hali duni  ya mazingira ambayo imekuwa tishio kwa afya. Hali hii inatokana na mafuriko ya mara kwa mara katika soko hilo na  mikondo ovyo ya kupitisha maji taka. Wafanyibiashara wanaitaka serikali ya kaunti ya nakuru kuingilia kati  kuhakikisha ujenzi wa mnada huo unamalizwa kwa wakati.

.
RELATED VIDEOS