×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Bidii Shuleni : Samson anawiri kwa kujizolea alama ya A- licha kupata 277 katika mtihani wa KCPE

19th December, 2019

Waziri wa elimu Prof. George magoha jana aliwatambua na kuwasifia wanafunzi waliopata alama chini ya 300 kwenye mtihani wa KCPE na baadaye kupata zaidi ya C+ kwenye mtihani wa kcse. Samson Gachie Muchai alikuwa mmoja wao. Alipata alama 277 miaka minne iliyopita na hapo jana aliwashtua wengi baada ya kupata alama ya A-

.
RELATED VIDEOS