Waendesha mashua Malindi waandamana kulalamikia usimamizi mbaya katika Marine park

KTN News Dec 18,2019


View More on KTN Leo

Shughuli za kawaida zilitatizika kwenye hifadhi ya wanyama wa majini ya Marine national park huko Malindi baada ya waendesha mashua kufanya maandamano wakilalamikia usimamizi mbaya. Wahudumu hao wanasema usimamizi umeongeza ada na kubuni sheria mpya bila kuwashirikisha.