Waakazi wa Embakasi wamtetea Mutua huku mbuge Sankok akipuzilia mbali madai ya Mutua

KTN News Dec 18,2019


View More on KTN Leo

Baadhi ya wenyeji wa eneo la Embakasi hapa Nairobi wamejitokeza kumtetea gavana wa Machakos Dr. Alfred Mutua kutokana na madai yake kuwa maisha yake yamo hatarini.Wananchi hawa wameitaka serikali kuchukua hatua madhubuti na pia kuhakikisha kwamba usalama wa kila mwananchi unazingatiwa. mbunge maalum David Sankok hata hivyo amepuzilia mbali madai ya mutua akitaja kuwa ni sarakasi.