×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waziri Magoha atangaza rasmi matokeo ya mtihani wa KCSE huku wasichana waking'aa kushinda wavulana

18th December, 2019

Waziri wa elimu Profesa George Magoha ametangaza matokeo ya mtihani wa KCSE wa mwaka huu. Takriban wanafunzi  laki saba waliufanya mtihani huo huku matokeo yakiashiria kuwa wasichana walifanya vyema kuliko wavulana  huku wanafunzi waliopata chini ya alama mia mbili katika mtihani wa KCPE wakionyesha ukakamavu na kutoa matokeo bora. Waziri Magoha amesema wanafunzi elfu umoja mia tatu hawatapokea matokeo yao kutokana na udanganyifu.

.
RELATED VIDEOS