.
17th December, 2019
<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} span.Apple-tab-span {white-space:pre} </style>
Dar es salaam na pwani ya kaskazini na eneo la kanda ya kati,ni maeneo yanayotajwa kushuhudia mvua kubwa kwa mujibu wa utabiri wa mamlaka ya hali ya hewa tanzania (tma)...huko jijini Dar es salaam, kwa siku ya leo pekee, mvua kubwa  imeharibu mali za wakazi wa jiji hilo na pia miundombinu ya  barabara, hali iliyopelekea kukosekana kwa huduma ya usafiri wa mabasi yaendayo kwa kasi, kutoka na kuingia katikati ya jiji la Dar es salaam