×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Seneta Murkomen amdhihaki Gavana Mutua, asema ni mtu mwenye kupenda sarakasi nyingi

16th December, 2019

Gavana wa Machakos Alfred Mutua hii leo aliandikisha taarifa ya polisi kwa madai kuwa maisha yake yapo hatarini. Mutua anadai kuwa Naibu wa Rais William Ruto, mbunge Adan Duale na Seneta Kipchumba Murkomen ni wakulaumiwa kwa vitisho hivo dhidi ya maisha yake. Akihutubia wanahabari katika kituo cha polisi cha Kilimani, Mutua sasa anataka usalama wake kudumishwa na wahusika kuchukuliwa hatua. Hata hivyo kupitia ukurasa wake wa twitter seneta Murkomen amemtaja Mutua kuwa mtu anayependa sarakasi hata wakati isipohitajika. Kadhalika Duale amejitenga na madai hayo

.
RELATED VIDEOS