×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Pigo kwa idara ya mahakama, jaji Otieno Odek akipatikana amefariki nyumbani kwake Kisumu

16th December, 2019

Idara ya mahakama imepata pigo baada ya jaji wa mahakama ya rufaa mjini kisumu Otieno Odek kupatikana amefariki katika nyumba yake Kisumu. Jaji huyo amefariki siku ambayo alifaa kuanza juma kama jaji msimamizi wa shughuli zote za mahakama hiyo juma hili.

.
RELATED VIDEOS