×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

MWANAMKE NGANGARI | Judith Bwire anavyotumia muziki kuwapa sauti wasichana katika jamii

15th December, 2019

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} p.p2 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 17.1px; font: 10.0px 'Times New Roman'; min-height: 11.0px} </style>

Sanaa ya muziki ni uwanja mpana ambao una aina tofauti ya wasanii, ila mwanamake mmoja ameamua kutumia muziki wa aina ya afro?fusion unaotambulika kwa mitindo na miondoko ya kiafrika kuwapa sauti wasichana katika jamii na hasa wanaotoka kwenye familia maskini. Makala ya mwanamke ngangari wiki hii yanapambwa na Judith Bwire Namacheke ambaye licha ya kuwapoteza wazaziwe akiwa na umri wa miaka kumi na mine, hakukata tamaa maishani na kuwa kioo cha jamii huku akitumai kwamba siku moja mila mbovu zinazomdunisha mtoto wa kike zitapitwa na wakati.

 

.
RELATED VIDEOS