×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Baraza la waislamu (Supkem) lapinga hatua ya Rais Uhuru kuongeza mda wa jopokazi la BBI

15th December, 2019

Baraza la waislamu nchini (SUPKEM) limepinga hatua ya Rais Uhuru Kenyatta kuongeza muda wa kuhudumu kwa jopokazi la BBI.  Kaimu mwenyekiti wa Supkem Hassan Ole Naado amesema kwamba jopokazi hilo la watu kumi na wanne halitakuwa na usawa na uwazi katika kuchukua maoni ya umma kuhusu mapendekezo yake

.
RELATED VIDEOS