×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kitumbua cha Sonko chaingia mchanga madiwani wakitafakari pendekezo la kumng'oa mamlakani

15th December, 2019

Huenda Mike Sonko akatemwa kama gavana wa nairobi, baada ya wabunge wa kaunti ya Nairobi kukutana jana, kujadili miongoni mwa masuala mengine pendekezo la kumngátua Sonko kufuatia agizo la mahakama kwamba asikanyage ofisini mwake City Hall. Haya yanajiri Sonko akitarajiwa kujibu mashtaka ya kuwashambulia polisi mjini voi wakati wa kukamatwa kwake wiki moja iliyopita.

.
RELATED VIDEOS