.
14th December, 2019
<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} </style>
Watu Wawili Wamefariki Huko Baringo Baada Ya Kula Chakula Ambacho Inadaiwa Kilikuwa Na Sumu . Wengine Kumi Na Watano Walioponea Kifo Kwa Tundu Ya Sindano Wanapata Matibabu Kwenye Hospitali Ya Kabarnet Walikopelekwa Wakilalamikia Maumivu Ya Tumbo.