Mirathi ya Siasa : Maisha ya Raisi wa Uganda Yoweri Museven

KTN News Dec 10,2019


View More on KTN Leo

Na katika makala ya mirathi ya siasa hii leo tunaangazia maisha ya Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni. Ameongoza uganda tangu 1986 na hata 2021 atagombea urais.