×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Viongozi wa siasa kutoka West Pokot wameirai serikali kujukumiuka

10th December, 2019

Viongozi wa siasa kutoka jamii ya wapokot wamemtaka Rais Uhuru Kenyatta atangaze mafuriko na maporomoko ya ardhi yanayosababishwa na mvua nyingi zinazozidi kunyesha kote nchini kuwa janga la taifa. Wakizungumza kwenye ibada ya wafu kwa watu walioangamia kwenye maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mafuriko huko Pokot Magharibi, viongozi hao aidha wametoa wito kwa wanasiasa kusitisha mjadala kuhusu bbi hadi suluhu kwa majanga tofauti yanayolikumba taifa ipatikane.

.
RELATED VIDEOS