×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wenye magari Nairobi walalamika kutokana na ada mpya ya Sh 400

10th December, 2019

Wiki moja baada ya mahakama kuu kusitisha utozaji wa ada mpya ya uegeshaji magari jijini nairobi, masaibu ya wenye magari hayajakoma huku washika dau husika wakilimbikiziana lawama ya nani wa kulaumiwa. Ada mpya ya shilingi 400 imeendelea kutozwa siku tatu baada ya uamuzi wa korti iliyoagiza kusitishwa kwake. Shirikisho la watumiaji bidhaa na huduma nchini cofek linadai kupeleka stakabadhi rasmi za agizo la mahakama kwa wakili mkuu wa kaunti alhamisi iliyopita jambo ambalo linatofautiana na  taarifa ya serikali ya kaunti ya nairobi inayodai kupata  stakabadhi hizo jana alasiri.

.
RELATED VIDEOS