8th December, 2019
Kwenye makala ya Mwanamke Ngangari wiki hii tunapokuwa kwenye mwezi ambapo siku ya watu wanaoishi na ulemavu iliadhimishwa, tunakueleza jinsi juhudi za kupigania haki za watoto wanaoishi na ulemavu aina ya tawahudi ukipenda autism zimemwezesha kutambulika kimataifa.