Mito yazidi kuvunja kingo zao baada ya mvua kubwa

KTN News Dec 08,2019


View More on KTN Leo

Mvua kubwa inayoshuhudiwa nchini inaendelea kusababisha maafa, tayari watu 140 wameaga dunia kote nchini na hii leo shughuli za usafiri zimetatizwa katika barabara kuu ya Namanga kuelekea kajiado baada ya udongo kufunika barabara hiyo kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha.