×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Vikapu vya Chipukizi: Michuano imefika tamati hii leo

6th December, 2019

Awamu Ya Mwaka Huu Ya Mashindano Ya Mpira Wa Vikapu Kwa Wachezaji Wasiozidi Umri Wa Miaka 14 Imekamilika Hii Leo Katika Uwanja Wa Nyayo Hapa Jijini Nairobi. Mashindano Hayo Ambayo Huandaliwa Kila Mwaka Yaliwaleta Pamoja Wachezaji Chipukizi Kutoka Nairobi Na Mombasa, Lengo Kuu Likiwa Kukuza Vipaji Na Kuwasaidia Wachezaji Kupata Fursa Za Kucheza Na Kusoma Ugaibuni.

.
RELATED VIDEOS