6th December, 2019
Gavana Wa Nairobi Mike Sonko Ijumaa Amejipata Matatani Kuhusiana Na Kupotea Kwa Shilingi Milioni 357 Za Kaunti Ya Nairobi. Kwa Mujibu Wa Kiongozi Wa Mashtaka Ya Umma Noordin Haji, Ana Uhakika Kuwa Sonko Ana Kesi Ya Kujibu Akidai Gavana Huyo Amekuwa Akitumia Mbinu Kadhaa Za Kukwepa Mkono Wa Sheria. Afisi Yake Sonko Imetoa Taarifa Ikisema Gavana Yuko Tayari Kukabiliana Na Mashtaka Hayo.