Watu wanne wafariki baada ya jumba kuporomoka huko Tassia, juhudi za uokoaji zinaendelea

KTN News Dec 06,2019


View More on KTN Leo

Watu wanne wamethibitishwa kufariki  baada ya jengo lenye ghorofa sita kuporomoka katika eneo la Tassia hapa jijini Nairobi.Kulingana na katibu wa wizara ya mipango watu takriban arobaini na sita walikuwa wapangaji na kufikia sasa shughuli za uokozi zinaendelea.