×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Vyama vya kisiasa vinaitaka bunge kutunga sheria ya kura ya maoni kuhusu BBI

4th December, 2019

Vyama vya kisiasa pamoja na taasisi ya masuala ya demokrasia nchini (CMD) vinataka bunge litunge kwa haraka sheria kuhusu kura ya maoni itakayotoa mwelekeo mwafaka iwapo wakenya wataamua marekebisho ya katiba yafanywe kupitia kura ya maamuzi. Aidha kundi hilo linaitisha marekebisho ya iebc yafanywe haraka iwezekanavyo kutokana na hali kwamba uchaguzi wa mwaka 2022 unakaribia.  

 

 

.
RELATED VIDEOS