.
4th December, 2019
Wakazi wa mtaa wa Kariobangi jijini Nairobi wanahofia mkurupuko wa maradhi kutokana na kupasuka kwa bomba la kupitisha uchafu ambao sasa unaingia majumbani mwao. Jitihada zao kuwapata wasimamizi wa kaunti hazijafua dafu na anavyoarifu saada hassan , hali kwa sasa si ya kuridhisha.