×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Majina ya watakaojiunga na shule mbalimbali za sekondari zatangazwa rasmi

2nd December, 2019

Majina ya wanafunzi wa kujiunga na nafasi za kidato cha kwanza katika shule za kitaifa na zile za kaunti, yameshawekwa wazi. Shughuli hiyo imekamilika leo katika taasisi ya kukuza na kuunda mitaala nchini, KICD, ambapo waziri wa elimu Prof. George Magoha ameongoza shughuli hiyo. Magoha amesema kuwa hakuna mtahiniwa yeyote ambaye atazuiliwa kujiunga na kidato cha kwanza kutokana na kutomaliza kulipa karo. 

 

.
RELATED VIDEOS