.
1st December, 2019
Msichana wa miaka 8 ni miongoni mwa watu 10 waliofariki kutokana na athari za mvua kubwa inayoendelea kunyesha sehemu ya kaiti kaunti ya makueni. Hapa nairobi, mvua hio ilisababisha mafuriko usiku wa kuamkia leo,ingawa serikali ya kaunti inajaribu kuokoa hali, kupitia kuzibua mitaro ya maji taka.