×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

MWANAMKE NGANGARI: Gwiji wa kujenga nyumba huko Voi, Taita Taveta

1st December, 2019

Valentine Mkei mwenye umri wa miaka 24 ni gwiji wa kujenga nyumba ukipenda mwashi katika eneo la voi kaunti ya Taita Taveta. Japo hakufanikiwa kukamilisha masomo yake ya sekondari kutokana na ukosefu wa ada ya shule kipato chake cha kila mwezi kimeendelea kuongezeka kadri ujuzi wake wa kazi unavyongezeka. Je siri yake ipi. Makala ya mwanamke ngangari wiki hii yanamwangazia mwanamke huyo kutoka kaunti ya Taita Taveta.

 

.
RELATED VIDEOS