.
1st December, 2019
Shughuli za uchukuzi zimetatizika katika eneo la Bilbil kaunti ya Tana River kutokana na mafuriko ambayo yamesababishwa na mvua kubwa inayonyesha eneo hilo. Malori yanayosafirisha bidhaa yamekwama na kutatiza shughuli za biashara eneo hilo.