Gor mahia yakabwa koo nyumbani Kisumu na Ulinzi stars

KTN News Nov 30,2019


View More on KTN Leo

Klabu Ya Wazito Imeiadhibu Chemelil Sugar Kwa Kuitandika Mabao 6?0 Katika Mechi Ya Ligi Kuu Ya Taifa Kpl Ugani Kenyatta Kaunti Ya Machakos. Elvis Rupia Alitia Kimiani Mabao Matatu Na Kumpa Kocha Frank Ouna Ushindi Wake Wa Kwanza Tangu Kuchukua Mikoba Ya Timu Hiyo Wiki Jana. Katika Mechi Zingine, Wageni Kcb Waliwalaza Kariobangi Sharks 5?2 Ugani Kasarani Huku Afc Leopards Na Gor Mahia Zikiambulia Sare Katika Mechi Zao.