×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanahabari wa KTN News, Fridah Mwaka afunga ndoa, harusi ilifanywa huko Kilifi leo

30th November, 2019

Mwanahabari Wa Runinga Ya Ktn News Fridah Mwaka Leo Hii Amejiunga Rasmi Na Ligi Ya Wanandoa Baada Ya Kufunga Ndoa Kwenye Harusi Ya Kukata Na Shoka Kati Yake Na Mpenziwe Wa Tangu Utotoni Sammy Nguma. Mbwembwe Na Shamrashamra Zilishuhudiwa Kwenye Harusi Hiyo Iliyofanyika Katika Klabu Ya Mnarani Kaunti Ya Kilifi. Wanahabari Wa KTN NEWS Walijiunga Na Wanadoa Hao Kwenye Harusi Hiyo.

.
RELATED VIDEOS