×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kisa cha unyama chawashangaza wenyeji wa Kithaku-Meru

25th November, 2019

Polisi eneo la Imenti ya kati kaunti ya Meru wanawasaka vijana wawili ambao wanadaiwa kumshambulia mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 47 katika kijiji cha Kithaku. 

Inadaiwa kuwa kando na kumpa kichapo, mzee huyo walijeruhi sehemu zake za siri, tukio lililopelekea yeye kulazwa hospitalini. 

.
RELATED VIDEOS