Babu Owino adhania atakuwa Rais wa Kenya hivi karibuni | Mirindimo

KTN News Nov 15,2019


View More on KTN Leo

Katika Mirindimo Hii Leo Mbunge Wa Lugari Ayub Savula Azuka Na Cheche Kali Katika Kamati Ya Bunge, Wenzane Joshua Kuttuny Na Milly Odhiambo Ni Weledi Wa Kusakata Ngoma Za Kisasa Huku Lugha Ya Bedroom Ikitawala Kampeni Za Uchaguzi Mdogo Wa Kibra. Si Hayo Tu Baba Owino Anadhania Kuwa Atakuwa Rais Wa Kenya Karibuni