Kongamano la kuangazia haki laonyesha uhusiano mbaya kati ya idara ya mahakama na afisi za serikali

KTN News Nov 14,2019


View More on KTN Leo

Idara ya mahaka yaendelea kujipata pabaya baada ya mkutano ulioandaliwa Naivasha kuangazia haki, kukosa kuhudhuriwa na vitengo vikuu vilivyoalikwa.