Walinzi wawili wauawa kwa kukatwakatwa na genge la majambazi Matungu
14th November, 2019
Genge la watu wasiojulikana limewaua walinzi wawili usiku wa kuamkia leo katika soko la Mirere huko Matungu kaunti ya Kakamega na kusababisha hofu kwa mara nyingine eneo hilo.