Wabunge wa Marsabit wakemea vita baina ya jamii wakionya wanaohusika kwamba watachukuliwa hatua kali
12th November, 2019
Baadhi ya wabunge kutoka kaunti ya marsabit sasa wamewakemea wenzao kwa kueneza chuki na kuwachochea jamii ya Gabra na ile ya Borana kupigana mara kwa mara.