Gladys Njoki azindua mafuta ya kukuza nywele za kiafrika | Bongo la Biashara
12th November, 2019
Mwanabiashara Gladys Njoki maina anayeishi eneo la Ruiru aligundua siri ya kujikimu maishani kutokana na ukosefu wa ajira licha ya kuhitimu na cheti cha uhandisi.