Bidhaa ghushi zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 22 yanaswa mpakani Namanga
12th November, 2019
Mamlaka ya kukabili bidhaa ghushi humu nchini imenasa bidhaa bidhaa ghushi za thamani ya zaidi ya shilingi milioni 22 katika mpaka wa Kenya na Tanzania huko namanga