Mama adai mwanawe alivunjwa mguu na daktari Bungoma

KTN News Nov 10,2019


View More on KTN Leo

Mwanamke mmoja mjini Bungoma alilia haki baada ya kisa kinachoelekea kuwa utepetevu wa daktari baada ya mwanawe kuvunjika mguu akitibiwa bila yeye kujua.