Harambee Stars yalalamika safari yao kupitia Dubai kisha Cairo itakuwa ndefu

KTN News Nov 09,2019


View More on KTN Leo

Huenda Wachezaji Wa Timu Ya Taifa Harambee Stars Wakasusia Safari Ya Misri Michuano Ya Kufuzu Fainali Za Ubingwa Bara Afrika Mwaka 2021 Iwapo Wizara Ya Michezo Haitabatilisha Uamuzi Wake Wa Kuwasafirisha Mwendo Mrefu.Kwa Mujibu Wa Timu Hiyo Wizara Ya Michezo Ingetafuta Njia Mbadala Na Raisi Ili Kuwaepusha Wachezaji Na Uchovu.