×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Bidhaa ghushi zanaswa kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania eneo la Namanga

9th November, 2019

Maafisa Wa Polisi Pamoja Na Asasi Ya Kupambana Na Bidhaa Ghushi Imenasa Mizigo Ghushi Kwenye Mpaka Wa Kenya Na Tanzania Eneo La Namanga. Bidhaa Zilizo Naswa Ni Ikiwemo Vitabu Vya Fasihi Ya Kingereza Vinayofunzwa Shuleni Hadi Mwaka Wa 2022. Jumla Ya Vitabu Elfu Thelathini Na Sita Vimenaswa Kwenye Operesheni Hiyo. Vilevile Maafisa Hao Wamenasa Viatu Aina Ya Nike, Gucci, Fila Na Adidas. Jumla Ya Jozi 834 Vimepatikana. Mtazamaji Vilevile Sabuni Elfu Mbili Aina Ya Imperial Leather Imepatikana Kwenye Operesheni Hiyo. Bidhaa Hizo Zimekadiriwa Kuwa Kima Cha Millioni Ishirini Na Mbili. Tangu Serikali Ilipoishughulisha Kampuni Ya Brand Id Ilikusaidia Kupiga Vita Ughushi Wa Vitabu; Mtandao Wa Matapeli Umekuwa Ukitumia Bandari Za Tanzania Kujaribu Kuingiza Mali Hizo Nchini Kenya

.
RELATED VIDEOS