.
9th November, 2019
Muungano Wa Vituo Vya Afya Binafsi Maeneo Ya Mashambani Pamoja Na Muungano Wa Maaskofu Wa Kanisa Katoliki Wameonya Kuwa Huenda Wakenya Wakakosa Huduma Za Bima Ya Kitaifa NHIF. Wamedokeza Kuwa Kucheleweshwa Kwa Malipo Ya NHIF Na Ufisadi Sasa Kunatishia Kukwamisha Huduma Za Afya Kwenye Vituo Vyao Kote Nchini