6th November, 2019
Palizuka sokomoko katika eneo la jua kali wadi ya seger kaunti ya laikipia, wakati waombolezaji waliokuwa wakiusafirisha mwili wa mmoja wa wakazi, kusitisha safari na kutaka kuifanyia sherehe ya mazishi katika ofisi ya mwakilishi wadi wa eneo hilo, wakilalamikia hali mbaya ya barabara.