×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Matabibu wamiminiwa vitooza machozi na polisi katika bustani ya Uhuru Park

6th November, 2019

Batabibu wanaogoma jijini nairobi wametupiwa vitoza machozi na polisi katika Bustani ya Uhuru walipokuwa wakijipanga kuelekea majengo ya bunge. Baadaye walifikisha hoja zao bungeni huku wenzao wa kaunti ya elgeyo marakwet wakitoana kijasho na serikali ya kaunti kuhusu marupurupu, mishahara na makubaliano ya jumla baina ya muungano wa matabibu na waajiri.

.
RELATED VIDEOS