Almashauri ya kitaifa ya watu wanaoishi na ulemavu yasherekea siku ya fimbo nyeupe ya kifahari

KTN News Nov 06,2019


View More on KTN Leo

Halmashauri ya kitaifa ya watu wanaoishi na ulemavu hii leo iliandaa hafla ya kusheherekea siku ya kimataifa ya fimbo nyeupe. Siku hiyo imetengwa kwa ajili ya kutathmini mafanikio na changamoto zinaowakumba walio na ulemavu wa kuona. Ulimwenguni kote, fimbo nyeupe hutambulika kama ishara ya uhuru na ukakamavu wa wasio na uwezo wa kuona.