×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wanawake wanaofanya biashara watakiwa kujiunga kwenye makundi kufaidi na mikopo kutoka kwa serikali

6th November, 2019

Akina Mama wanaofanya biashara kote nchini wameshauriwa kujitokeza na kujiunga katika makundi ili kupata mikopo kutoka kwa serikali. Akizungumuza na wanahabariki mwenyekiti wa muungano wa wanawake katika biashara Mary Muthoni ameiomba serikali kubuni mbinu na mikakati ya kuwaweka wanawake katika nafasi bora ya kujitegemea na kuwa sehemu ya kuinua uchumi wa taifa hili. Muthoni aliteuliwa juzi kuwa mshindi wa tuzo ya mwanamke bora kwenye ulingo wa biashara ukanda wa Afrika mashariki.

.
RELATED VIDEOS