Viongozi wa Tharaka Nithi na Meru kuenda mahakamani kupinga matokeo ya sensa

KTN News Nov 05,2019


View More on KTN Leo

Viongozi wa siasa kutoka kaunti ya Tharaka Nithi wametishia kwenda mahakama kuu kupinga matokeo ya idadi ya watu katika kaunti hiyo. Gavana Muthomi Njuki amesema matokeo yaliyoorodhesha kaunti hiyo kuwa na  idadi ya watu laki tatu, tisini na tatu elfu, mia moja sabini na moja,haidhihirishi hali halisi. wanasiasa hao sasa wanataka shughuli ya kuhesabu watu irudiwe katika kaunti hiyo.