×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu 11 wakamatwa Kisii kwa kujifanya watahiniwa katika mtihani wa KCSE inayoendelea

5th November, 2019

Watu kumi na mmoja wamekamatwa leo katika kaunti ya kisii kwa tuhuma za kujifanya watahiniwa wa mtihani unaoendelea wa KCSE. Maafisa wa elimu kwa ushirikiano na walinda usalama waliivamia shule ya binafsi ya Milimani Ramasha na kuwanasa washukiwa hao. 

.
RELATED VIDEOS